Kitabu cha benki inaweka kumbukumbu za pesa zote zilizopo benki. Inawezesha kufanya oanisho kwa urahisi kati ya pesa zilizopo benki na zile zilizopo katika vitabu

Akaunti ya benki ni muhimu kwani inadhibiti fedha zisitumike hovyo. Pia intoa usalama mzuri wa fedha zako.

Jina la Akaunti………………………………………………  Namba ya akaunti………………………………

Tarehe

Maelezo

Fedha

Baki

Zilizoingia

Zilizotoka