Register
A password will be e-mailed to you.

Warning: in_array() expects parameter 2 to be array, null given in /home/webmast1/kivuyo.com/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/forms.php on line 725

Warning: in_array() expects parameter 2 to be array, null given in /home/webmast1/kivuyo.com/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/forms.php on line 725

Notice: Undefined index: name in /home/webmast1/kivuyo.com/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4214
Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri” ni wimbo unaoelezea mali asili na vivutio vizuri vya utalii nchini Tanzania. Nchi yenye mito, maziwa na mabonde mazuri.
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri

Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,

Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,

Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania

Majira yetu haya, yangekuwaje sasa

Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,

Kila mara niwe kwako nikiburudika,

Nakupenda sana hata nikakusitiri,

Nitalalamika kukuacha Tanzania.

Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2  

3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,

Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,

Ninakuthamini hadharani na moyoni,

Unilinde name nikulinde hata kufa.

Majira yetu haya, yangekuwaje sasa

Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

Nyimbo Zingine:

National Anthem of Tanzania | Wimbo wa taifa wa TanzaniaNational Anthem of Tanzania | Wimbo wa taifa wa Tanzania “Mungu ibariki Afrika. God Bless Africa” Performed by Philip Sheppard / London Philharmonic Orchestra. (2012).

Wimbo wa Taifa - Kala Jeremiah fet NakaayaWimbo wa Taifa – Kala Jeremiah fet Nakaaya
About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Leave a Reply