Namna ya Kupata Gharama za Kutengeneza Mchanganuo au Mpango wa Biashara – Business Plan

[featured_image]
Pakua kikokotozi
Download is available until [expire_date]
  • Version 2017
  • Download 134
  • File Size 12.81 KB
  • File Count 1
  • Create Date October 8, 2017
  • Last Updated May 4, 2018

Namna ya Kupata Gharama za Kutengeneza Mchanganuo au Mpango wa Biashara - Business Plan

Kikokotozi hiki hukokotoa ada ya kutengeneza mpango wa biashara au mchanganuo wa biashara kwa kuzingatia vipengele muhimu zifuatazo:

  1. Makisio ya wastani ya mauzo kwa mwaka
  2. Idadi ya bidhaa au huduma ambazo zitachanganuliwa
  3. Idadi ya miaka ambayo mpango wa biashara utahusika nayo

Ada zitakazopatikana ni 3 nazo ni:

  1. Ada ya kutengeneza mpango wa biashara - business plan design fee
  2. Ada ya kuchanganua bidhaa zote - product or service analysis fee
  3. Ada yote ya kutengeneza Business plan

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi