Mtoto wa Miaka 24 Azaliwa na Mama wa Miaka 25, Marekani

Kiini cha mtoto mchanga  iliyogandishwa yapata miaka 24 chazaliwa salama katika mji wa Tennessee, Marekani.


Wachangiaji wasiojulikana waliacha kiini cha mtoto katika Kituo cha kuhifadhia viini cha Tennessee kiitwacho “National Embryo Donation Center”, Marekani tangu tarehe 24 Novemba 1992.


Tina Gibson aliyeolewa miaka saba iliyopita hakutaka penzi la ndoa yake iingiwe na giza aliamua kuasili kiini hicho na baada ya mwaka akajifungua salama mtoto wa kike.


"Do you realize I'm only 25? This embryo and I could have been best friends," Tina Gibson said.


“Je unafahamu kuwa nina miaka 25 tu, hiki kiini cha mimba na mimi tungekuwa marafiki wazuri” Alisema Tina Gibson


Tina aliiambia kituo cha runinga cha CNN kuwa bila kujali kama ni rekodi ya dunia


"I just wanted a baby. I don't care if it's a world record or not."


“Nilichotaka ni mtoto tu, sijali kama ni rekodi ya dunia”


<img alt="Emma Gibson Mtoto wa Miaka 24 azaliwana Mama wa Miaka 25" src="http://curationsoft.com/ckeditor/userfiles/Snowbaby frozen for 24 years since November 14, 1992.jpg" style="width: 780px; height: 438px; " />


Emma Wren Gibson alizaliwa Novemba 25.


Kiini cha mtoto kilichokuwa kinashikiliia rekodi ya dunia ni ile ya miaka 20


Utaratibu wa kuchangia viini vya watoto kutoka kwa watu wasiojulikana na viini hivyo kuhifadhiwa kwa kugandishwa ili viasiliwe na mzazi/mlezi mtarajiwa asiyetaka kuzaa kwa njia za asili au asiyekuwa na uwezo wa kuzaa kwa njia za asili imeenea sana katika nchi zilizoendelea kwa sayansi hii hasa Marekani.


Utaratibu hu umekuwepo tangu mwaka 1972 wakati huo ukitumia technolojia tofauti na ilikuwa taratibu sana tofauti nah ii ya miaka ya hivi karibuni

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi