Mpango Kazi

Kuandika Mpango wa Kazi

Mpango Kazi ni maelezo ya namna utakavyofanya kazi kwa mtiririko na utaratibu utakaoleta tija tarajiwa. Kiingereza wanaita Action Plan au Plan of Action.

Mpango Kazi unajumuisha LENGO KUU na Malengo madogo madogo halafu Kazi zitakazofanyika (activities) ili kufikia hayo malengo madogo mpaka lile Lengo Kuu. Pia inaonyesha mhusika wa kila kazi, muda wa kufanya (hasa kuanza na mwisho wake), Mbinu za kutumia, Hatua iliyofikiwa (monitoring) Mambo mazuri yaliyojitokeza, Changamoto zilizojitokeza na n jia ya kutokea. Mwisho Tadhmini ya Mpango Kazi wote na kuweka mapendekezo ya maboresho kwa wakati ujao

Mpango Kazi unaadhiriwa ngazi ya taaluma na sekta husika

Mfano

  1. Mwalimu na Mwalimu mkuu au afisa wa elimu au Waziri wa Elimu
  2. Uhandisi au Ualimu au Sheria au Utabibu nk

Mambo muhimu katika mpango kazi

  1. Lengo Kuu
  2. Malengo mahususi
  3. Ratiba ya Utekelezaji
  4. Mambo mazuri yaliyojitokeza
  5. Changamoto na utatuzi wake
  6. Tathmini na maboresho yake

Mfano wa Ratiba ya Utekelezaji

Na Tarehe Kazi Mhusika Hali Halisi Mbinu zitakazotumika Maelezo Mengine
Kuanza Mwisho
1. 12/01/2019 19/01/2019 Kuitisha kikao cha Bodi MD Bado Kutuma email, kupiga sim una kutumia group ya Whatsapp Hakuna
2. 20/01/2019 29/01/2019 Kuandika Ripoti ya Kikao cha Bodi Afisa Tawala Bado Kutumia dondoo za kiako na secretarieti ya uandishi wa dondoo

 

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi