- Namna ya kuanzisha biashara mpya (hatua 26).
- Namna ya kuendeleza na kuboresha biashara inayoendelea.
- Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
- Namna ya kutafuta mtaji.
- Namna ya kutambua, kuhatamia na kutumia vyema fursa mbalimbali zilizokuzunguka
- Namna ya kuthibiti vikwazo katika biashara yako.
- Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
- Namna ya kuandika mpango/mchanganuo wa biashara kwa njia rahisi