Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Hatua muhimu za kufuata ili kuanzisha shule imeelezewa vizuri katika ukurasa wa Hatua 5 za kuanzisha na kusajili shule. Katika...
Ripoti ya fedha kwa taasisi ndogo ina sehemu kuu tatu 1. Mpango wa matumizi kwa muda uliopita Taja kwa mstari...
Hatua muhimu za kufuata ili kuanzisha shule imeelezewa vizuri katika ukurasa wa Hatua 5 za kuanzisha na kusajili shule. Katika...
Ninafundisha kwa urahisi elimu ya stadi za maisha kwa watu wazima, pia ninaandika mafundisho na mifano kadha wa kadha kwa...
Malelezo ya hatua mbalimbali za kufuata ili kuanzisha biashara inayokaa na kuendelea yameelezwa katika kiunganishi hiki Hatua 26 za Kufuata...
Hatua muhimu za kufuata ili kuanzisha shule ya awali na msingi imeelezewa vizuri katika ukurasa wa Hatua 5 za kuanzisha...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata mkopo wa biashara. Wallengwa ni vikundi, mashirika, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks...
Ninafundisha kwa urahisi elimu ya stadi za maisha kwa vijana, pia ninaandika mafundisho na mifano kadha wa kadha kwa ajili...
Ninafundisha elimu ya ujasiriamali kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Hii elimu inasaidia sana mabadiliko...
Utangulizi Makala haya yamelenga katika kusaidia vikundi vidogo vidogo vya aina tofauti kuanzia zile za kiuchumi, kijamii, kielimu, kitaaluma, kidini...
Wadau wa mradi ni watu au taasisi ambazo zinahusika kwa naman moja au nyingine katika maendeleo ya eneo mradi ulipo....
Je ulishawahi kuandika barua ya maombi ya kazi na kutuma kwa waajiri wengi na wote au wengi ya hao hawakukujibu...