Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Ifuatayo ni hatua 7 rahisi za namna ya kupata ufadhili wa kusoma ndani au nje ya nchi ili kuboresha taaluma...
Utangulizi Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata scholarship nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata chuo nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata mtaji wa kuendeshea biashara. Wallengwa ni vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu...
Mpango Kazi ni maelezo ya namna utakavyofanya kazi kwa mtiririko na utaratibu utakaoleta tija tarajiwa. Kiingereza wanaita Action Plan au...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi Mkataba wa Wafanyakazi, pia ninaandika Mkataba wa Wafanyakazi kwa bei rahisi kwa vikundi, mashirika,...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi Mtaala wa Vyuo vya VETA, kwa vyuo Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks for SharingPlease accept my deepest thanks...
Yafuatayo ahpa chini ni hatua muhimu 7 ambazo mtaalamu au mmiliki wa chuo cha ufundi nchini Tanzania atafuata ili kutengeneza...
Utangulizi Uandishi wa andiko la mradi ni sanaa na ni utaalamu. Mwandishi wa andiko la mradi ni lazima awe na...
UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 #BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni na biashara kusajili na kuwasilisha returns...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi mchanganuo wa biashara kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi....