Register
A password will be e-mailed to you.

Ili kukokotoa GPA yako uliyopata baada ya kufanya mitihani ya chuo ya semester au ya kufunga mwaka unatakiwa kujua yafuatayo

  1. Idadi ya units katika kila somo
  2. Mfumo wa kuweka maksi yaani grading unatumia mfumo upi yaani A, B+, B, C, D, E, F. Pia ujue A ina anzana na kumalizikia na maksi ngapi na grade zingine hivyo hivyo
  3. Fomula ya GPA ni (Jumla ya point ulizopata MARA units kwa masomo yote)/Jumla ya Units zilizowekwa kwenye masomo

Tafadhali pakua file hapa chini la Excel 2007 ikiwa na uwezo wa kubeba data za wanafunzi 37, na masomo 11, manne semester ya kwanza na saba semester ya pili. Mfano huo ni kwa vyuo vya ufundi vilivyo chini ya NACTE kwa Upande wa NTA6

Kwa maswali na maoni tafadhali tumia nafasi ya maoni hapa chini

[download id=”4236″]

 

 
Leave a Reply