Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs...
Zifuatazo ni gharama za kusajili kampuni isiyo na hisa (Nonprofit company) BRELA zikijumuisha gharama za BRELA, kutengeneza MemArt, Sahihi ya...
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Zaidi ya 50m Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 1. Hisa kati ya a. 20k-1m...
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Kati ya 5m -20m Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 1. Hisa kati ya a. ...
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Kati ya 5m -20m Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 1. Hisa kati ya a. ...
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Kati ya 1m -5m Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 1. Hisa kati ya a. 20k-1m...
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Chini ya Milioni 1 Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 1. Hisa kati ya a. ...
This is Tanzania Staff Salary Excel Sheet with PAYE, Pension, SDL Deductions Calculator included based on taxation year that start...
Attached is an excel sheet capable of calculating PAYE and Pension based on Tanzania taxation system as from 1 July...
How to Develop an NTA Curricula For NACTE Accredited Colleges in Tanzania Below are brief 7 stages any consultant or...
This message is good for expected husbands and wives, parents, children, marriage couples, leaders and managers. “There is no perfect...
Below is link to Tanzania Revenue Authority TRA – Used Car Import tax calculator for you to use TRA Used...