Kuandika Mpango wa Biashara

Kuandika Mpango wa Biashara

Taarifa ya Biashara

Maelezo ya Awali

  • Mfumo wa Biashara
  • Aina ya Biashara: Trading / Huduma / Viwanda
  • Jina la kisheria:
  • Namba ya Leseni ya biashara:
  • Anuani
  • Biashara ya mahali
  • Namba ya simu:
  • barua pepe:

Maelezo ya Bidhaa

  • Aina za Bidhaa:
  • Mtengenezaji:
  • Matumizi ya bidhaa:
  • Bei
  • Viambatanisho:

Maelezo ya Ushindani

  • Ukubwa wa Soko:
  • Sehemu za Soko
  • Washiriki wa biashara (washindani)
  • Siri ya ushindani

Mkakati wa Masoko

  • Makakati wa kuwafikia wateja
  • Mkakati wa kusambaza bidhaa kwa wateja

Taarifa ya Makisio ya Fedha

Makisio ya Mauzo

Maelezo IDADI Bei Jumla
Bidhaa1
Bidhaa2
Bidhaa3
Bidhaa4
Bidhaa5
Bidhaa6
Bidhaa7
Bidhaa8
Jumla

Makisio ya Matumizi

Maelezo IDADI Bei Jumla
Matumizi 1
Matumizi 2
Matumizi 3
Matumizi 4
Matumizi 5
Matumizi 6
Matumizi 7
Jumla

Makisio ya Faida na Hasara

Maelezo Amount
Jumla ya mauzo
Jumla ya Matumizi
Faida Ghafi

 

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi