Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Utangulizi Kuhusu MEMART MemArt ni kifupi cha Memorandum and Article of Association. Hii ni mkusanyiko wa taarifa za kisheria na...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi mpango wa biashara, pia ninaandika mpango wa biashara kwa bei rahisi kwa vikundi, mashirika,...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi mpango mkakati kuanzia ukusanyaji wa taarifa, uchambuzi wa mahitaji na uandishi wenywe, pia ninaandika...
Leseni ya biashara hutolewa kwa makampuni na wafanyabiashara kwa ajili ya kuwapa uhalali wa kufanya biashara husika katika eneo husika...
TANGAZO KWA WASOMAJI WA UKURASA HUU Utaratibu mpya wa kusajili kampuni kupitia mtandao umeanza rasmi tarehe 22 Machi 2018 na...
Ninafundisha namna ya kuagiza kwa urahisi gari nje ya nchi kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu...
Ninafundisha namna ya kuandaa na kuandika kwa urahisi Bajeti kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi....
Ninafundisha kwa urahisi elimu ya stadi za maisha kwa watoto, pia ninaandika mafundisho na mifano kadha wa kadha kwa ajili...
Ili kuanzisha mradi kuna baadhi ya mambo muhimu ni vyema ukayajua. kulingana na ukubwa wa mradi kifedha na kieneo mambo...
Maana ya Ripoti Ripoti ni maelezo au taarifa juu ya kazi iliyokwisha fanywa ambayo huandikwa kwa ajili ya kufanyiwa maamuzi...
Ninafundisha namna rahisi ya kuanzisha chuo, pia ninafanya kazi hiyo kwa maelewano au kuandika mwongozo wa kufuata ili kuanzisha chuo...
Some leads are very very bogus, they just come to you to dig and still some secret of your success....