Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania

Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania

Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania  iliyoratibiwa na Chama cha Watoa Huduma ya Utalii Tanzania TATO (Tanzania Association of Tour Operator) na kufaziliwa na benki ya CRDB yafanyika kwa mafanikio makubwa Arusha.

Mafunzo hayo yaliyofanyika katika hoteli ya SnowCrest inayotoa huduma yake pembeni kidogo mwa mji wa Arusha imejumuisha wadau zaidi ya 300 kutoka katika secta ya Utalii Tanzania ambao ni wafanyakazi wa TANAPA, Tanzania, Wafanyakazi (madereva na waongozaji wa wageni) wa makampuni binafsi zinazotoa huduma ya utalii Tanzania.

Mafunzo hayo yalilenga zaidi yafuatayo:

  1. Huduma nzuri kwa wateja na mbinu za kutatua malalamiko
  2. Tabia na motisha ya Ujasiriamali
  3. Utamaduni wa Utalii na Saikolojia ya Mteja

 

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi