Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Ukurasa huu utakuonyesha namna bora ya kugundua, kuendeleza na kutengeneza pesa kutokana na kipaji ulicho nacho. USHAURI KWA VIJANA Je...
Sehemu ya II: Kubuni na kuanzisha Mradi: Baada ya kutiwa motisha kuwa Mfanyabiashara Huwezi kuwa Mfanyabiashara mpaka umemiliki biashara.
Read More
Sehemu ya I: Kuendesha biashara ndogo ndogo: Maelezo ya utangulizi juu ya biashara ndogondogo na faida yake kwa wajasiriamali na taifa kwa ujumla
Read More
Katika maisha yangu nimejifunza yafuatayo Kama huelewi, sikiliza tu Kama huelewi, soma tu Jifunze kusikiliza wengine hata kama huelewi au...
Benki ni mkopeshaji mkubwa na mgumu kwa mazingira ya Tanzania. Pamoja na hayo benki wana masharti maalumu ambazo nazo hutofautiana...
Maombi ya kazi ni kazi ngumu kuliko wengi wanavyofikiri na hasa kama kazi uombayo ni nyeti na ina waombaji wengi....
Stadi za Maisha ni ujuzi ambao sio rahisi watoto au vijana wapate kupitia mitaala ya kawaida darasani au vyuoni. Ni...
Kitabu cha benki inaweka kumbukumbu za pesa zote zilizopo benki. Inawezesha kufanya oanisho kwa urahisi kati ya pesa zilizopo benki...
afuatayo ni dondoo fupi ya namna ya kufundisha Mafunzo (elimu) ya Masoko Kwa Wafanyabiashara au wajasiriamali wadogo wadogo,
Read More
Hatua 26 za kuanzisha biashara ni nyingi kulingana na hali halisi ya mfanyabiashara kuanzia utayari wa kisaikolijia, uwezo na udhaifu, ujuzi wa biashara husika utadhmini nk.
Read More
Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yak. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara
Read More
Kitabu cha stoo lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya bidhaa za kuuzwa au malighafi ili zisipotee bure au kuibiwa. Na...