Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Mafundisho ya ujasiriamali, kuibua miradi ya jamii
Read More
1.0 Utangulizi Uchimbaji wa madini ni kuyatoa madini kutoka ndani ya ardhi kuja nje na kuyapa dhamani kwa kukata (vito...
Overview of Tourism Marketing I will try to address the five (5) pillars of tourism marketing which are Design, Communication,...
“Tanzania Nakupenda kwa moyo wote” ni wimbo wa kizalendo kwa wazelendo wa kweli wa Tanzania. Imba wimbo huu kwa moyo wa...
“Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri” ni wimbo unaoelezea mali asili na vivutio vizuri vya utalii nchini Tanzania. Nchi yenye mito, maziwa na mabonde...
UTANGULIZI Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi...
Ili kukokotoa GPA yako uliyopata baada ya kufanya mitihani ya chuo ya semester au ya kufunga mwaka unatakiwa kujua yafuatayo...
No. Step Description Estimated Time to Complete in Business Days Fee in TZS 1 Apply for clearance of the proposed...
INTRODUCTION What is technology? A technology is a tool, machine or equipment that operate under a certain scientific concept or...
Consider the three steps before the actual selling transaction stage Pre selling activities selling transaction stage Post- selling activities Pre...
MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na...
Ili kuanzisha na kusajili Shule yenye ubora unaostahili wadau hawana budi kufuata hatua mbalimbali kama zilivyoainishwa kwa kina katika “Mwongozo...