Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
The business plan development calculator compute Business Plan Design Professional Fee, Professional Fee Charged for Products/Services, Total Professional Fee and Fee charge in your preferred currency by just entering the current exchange rate
Read More
āYou are not born until your friend is bornā Lemburis Kivuyo, 2006 A friendship founded on business is better than...
Lemburis Kivuyo has been doing business consultancy since 2005, Business plan development is part of his experienced consultation he is...
Utangulizi Uimbaji ni sanaa na hivyo inahitaji utaalamu, ubunifu na umahiri katika kuifanya. Unashauriwa kama ni mara yako ya kwanza...
Small and Medium Enterprises or SME is a term usually used to stands for all business with the following attributes...
Lemburis Kivuyo is a Business, IT and Community Related Project Consultant Do you want to start a new business? Consider...
This page will explain the important parts of the business plan for small and medium businesses. A business plan is...
Contacts: Name: Goodlove Herman Position: Director Email: gherman990@live.com Website: Yourwebsite.com Phone: +255712356455 Postal Address: PO Box 10000, Arusha, Tanzania Location:...
Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks for SharingPlease accept my deepestĀ thanks for sharing this content to your friends. Welcome back again to explore more...
1.0 TARATIBU ZA USAJILI Usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali unaofanyika chini ya sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Na....
Ifuatayo ni hatua rahisi za kutafuta ufadhili kupitia internet. Ufadhili waweza kuwa ni ule wa kusoma nje, kufanya tafiti, miradi...
Uandishi wa CV unategemea sana secta husika, CV za wahandisi ni tofauti na za wanasheria au waalimu nk. Lakini CV...