Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Jifunze namna bora ya kuandika mpango mkakati kwa ajili ya kikundi, ofisi au shirika lako. Ili uweze Kuandika Mpango Mkakati,...
Maelezo yanakuja hivi karibuni Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks for SharingPlease accept my deepest thanks for sharing this content to your friends. Welcome back...
UTANGULIZI Chekechea ni mjuhimu pengine hata kuliko msingi kwa sababu ya mambo yanayofundishwa huko inamfanya mtoto aweze kujitambua na kuyapenda...
Bajeti ya mradi mzima Jumla ya gharama za mradi ni kiasi gani Mchanganuo wake kulingana na maelezo yote ya mradi...
Utangulizi Kuelekea maendeleo ya sayansi na teknolojia na hasa kwenye nyanja ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) makampuni na...
Tathimini na Ufuatiliaji wa mradi Njia gani za kufuatilia mradi siku kwa siku Utawezaje kukusanya taarifa za utekelezaji wa mradi...
Uendelevu wa Mradi Ni mikakati ipi umeweka ya kuendeleza mradi huu Mikakati ya kishirika na kitaasisi Mikakati ya kifedha kwaajili...
Ujasiriamali ni nini? Kuna tafsiri nyingi za ujasiriamali lakini zote zinaleta kwenye maana moja ya kugundua au kubuni biashara yenye...
Maana na Tafsiri Muda ni rasilimali isiyoshikika lakini yenye dhamani kubwa sawa na maisha ya mtu. Muda ni rasilimali zaidi...
Masuala ya yahusuyo kijinsia na watoto Masuala ya mazingira Masuala ya uongozi na utawala bora Magonjwa hasa ukimwi Malaria Haki...
Malengo, Madhumini, Shughuli na Majukumu yote kwa mpangilio juu ya mradi
Read More
Taarifa za chanzo cha mradi na sababu muhimu za kuanzishwa mradi
Read More