Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Unaweza kutengenezewa website, nembo, mchanganuo wa biashara, (Business Plan), mpango mkakati (Strategic Plan), na kufundishiwa kamati, wafanyakazi nk juu ya...
Je unahitaji blog Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks for SharingPlease accept my deepest thanks for sharing this content to your friends. Welcome back again...
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania iliyoratibiwa na Chama cha Watoa Huduma ya Utalii Tanzania TATO...
Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo: Dhana ya masoko, Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko, Kalenda-Mpango wa kufanya masoko
Read More
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo mpaka mpaka miradi mikubwa Andiko...
With background field of study in BSc. Geology, I can facilitate Remote Sensing and GIS for technical cadres and special...
Ifuatayo hapa chini ni mfano wa uandishi wa dondoo za mkutano au kikao chochote. Maoni ya namna ya kuboresha yanakaribishwa...
Tumaini Development Group SLP 12908, Arusha Kumb Na. TM/ME/12901 Kwa wajumbe wote Yah: Taarifa ya Wito kwa Mkutano wa 5...
Kuandika dondoo za mkutano ni kazi rahisi kama kuna maandalizi ya kutosha lakini pia ni kazi ngumu kama hakuna maandalizi...
Attached is the employee salary slip template that you can use to design your own/organization/company salary slip. Please add or...
What should be included in determining the employee income for P.A.Y.E deduction according to Tanzania taxation Law? The employment income...
The new Tanzania Employment and Labor Relations Act 2004 introduced a totally different system which is less prescriptive and provides minimum requirements
Read More