Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Biashara yeyote ina mali za muda mrefu kama shamba, nyumba, fanicha, mashine nk. Kwa hiyo kitabu cha mali ya biashara...
Kwa kweli ukitaka biashara yako ife kwa haraka, fanya bila ya kuwa na kitabu cha mapato. Hata mfanyakazi wako ambaye...
Kitabu cha matumizi ni mojawapo ya vitabu muhimu sana sana itakayokuwezesha kujua kwa hakika kiasi gani cha fedha inatoka katika...
Utangulizi Mpango wa biashara wengine wanauita mchanganuo wa biashara au kwa kimombo “Business Plan” sio kitu kigumu sana kama ukipenda...
Kitabu cha mikopo ni muhimu ili kutunza kumbukumbu zote za mikopo, kama umechukua mkopo kutoka kwa rafiki, ndugu, kijijini, serikalini,...
Taarifa ya Biashara Maelezo ya Awali Mfumo wa Biashara Aina ya Biashara: Trading / Huduma / Viwanda Jina la kisheria:...
Utunzaji wa Vitabu vya Fedha Utanzaji ni nini? Kuweka vizuri visiibwe, visiharibike, visiharibiwe, vikitakiwa vipatikane kwa haraka nk Kama neno...
Upatikanaji wa mkopo unategemea sana mahitaji ya biashara yako kimtaji na mtandao wako wa jamaa, ndugu na marafiki na ndugu....
Japokuwa hutakiwi kukopesha hovyo hovyo, lakini tafiti zinaonyesha kuwa biashara inayozungusha sana mtaji na faida ni ile inayokopesha kwani wateja...
Lemburis Kivuyo amekuwa akitoa ushauri wa biashara na ujasiriamali tangu mwaka 2005, kutengeneza mchanganuo au mpango wa biashara ni sehemu...
“BWANA akamwambia, Ni nini hiyo uliyo nayo mkononi mwako? Akasema, Ni fimbo.” Kutoka 4:2 Hakika ulichonacho MKONONI inatosha kabisa kubadili...