Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing]
Read More
Wasifu na maelezo ya awali ya mradi ni maelezo ambazo zitauelezea mradi kwa ufupi kabla maelezo ya kina hayajatolewa.
Read More
Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vitakavyotumika, mpangilio mzima wa kuutekeleza mradi ikiwa ni pamoja na uongozi na usimamizi, mpango endelevu wa mradi kwa hapo baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha
Read More
Ujasiriamali ni neno la kiswahili linalotokana na maneno mawili yafuatayo
Ujasiri
Wa mali
Hii ina maana ya mtu mwenye ujasiri wa kuwekeza mali alizonazo ili apate faida
Read More
Wasifu wa Kampuni ni muhstasari wa maelezo ya msingi unaoitambulisha kampuni kwa uma. Wewe fikiria ingekuwa wewe unaitafuta kampuni ikufanyie...
Yafuatayo ni sehemu muhimu ya mchanganuo wa biashara: Kasha la nje: Sehemu ya kichwa cha mchanganuo wa biashara,
WAZO LA BIASHARA (AU MUHSTASARI), YALIYOMO (Orodhesha sehemu muhimu tu katika mchanganuo wako)
nk.
Read More
Utangulizi Mafanikio ni hali ambayo kila mtu anapenda kuwa nayo na kuyafikia kila mara. Mafanikio humfanya mtu afarijike, ajisikie yuko...
Sehemu ya III: Njia za Kupata Mtaji wa Biashara ina jumuisha; Mali binafsi, Mkopo na Misaada
Read More
Huwezi kuwa Mfanyabiashara mpaka umemiliki biashara. Ili Kubuni na Kuanzisha Biashara Ndogondogo mtu anatakiwa ajue yafuatayo
Read More
UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni kusajili na...
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika mchanganuo wa biashara kuanzia zile za biashara ndogondogo mpaka biashara kubwa. Gharama/bei za...
Maelezo ya utangulizi juu ya kuendesha biashara ndogondogo na faida yake kwa wajasiriamali na taifa kwa ujumla
Read More